Habari, Kuomba kazi Jamiicheck Jobs ni rahisi sana. Maombi yanatumwa katika njia kuu Tatu Japo zaweza kuepo nyingine

  1. Maombi kwa njia ya email: Hapa Mwajiri atakupatia email 📧, ivyo ukibofya Button ya ku apply utaona email chini Bofya hapo.
  2.  Maombi Online: Hapa Mwajiri atakupatia link ya Portal inayokusanya Maombi, ivyo ukibofya Button ya ku apply utaona link ya portal chini Bofya hapo.
  3. Maombi kwa njia ya Anwani: Hapa Mwajiri atakupatia Anwani, ivyo ambapo utachagua kupeleka Ofisini kwake au Posta

Jinsi Ya kutuma maombi kwa picha

🛑Bofya Kwenye Button Kisha link hapo chini

Kwa Msaada Zaidi    BOFYA HAPAÂ